Ninang'atuka 2014
Ninang'atuka 2014
ISBN: 9781483689647
Author: Dardanus Mfalme
Publisher: Gardners
Published Date: December 26, 2013
Digital eBook
Couldn't load pickup availability
Ni kitabu chanye hazina ya mashairi yaliyotungwa na mtunzialiyebobea katika fani ya utunzi wa nyimbo, tenzi na mashairi.Mtunzi wa kitabu ametunga tungo za kitabu hiki akifuata na kulindamaadili ya lugha ya Kiswahili kwa malengo ya kuelimisha, kuburudisha nakufundisha jamii zote. Usomapo kitabu hiki utapata uhondo kamili walugha ya Kiswahili kwani mtunzi wa kitabu ametumia maneno ya Kiswahilisanifu, Kiswahili cha mitaani na maneno aliyoyatohoa kutoka lugha mbalimbali ambayo hutumiwa kwa wingi mitaani.Katika kurasa za mwisho za kitabu hiki, mtunzi ameweka kamusi yaKiswahili cha mitaani ili wale wasioelewa Kiswahili cha mitaani wawezekupata burudani kamili wanaposoma ama wanapoimba mashairi yake.
Share



